Kwa mujibu wa Transfer Market, kikosi cha Mamelodi Sundowns ndio kikosi chenye thamani kubwa zaidi Afrika kwa sasa
Hii ni top 5 ya Klabu zenye mpunga mrefu na kufanya uwekezaji mkubwa zaidi , note muhimu ni kwamba
1 Kwenye Klabu hizi tano ni mbili tu ambazo zimeingia Robo Fainali CAFCL msimu huu .
2 Tano bora inaundwq na klabu za mataifa mawili tu [ Afrika Kusini na Misri]
3 Bajeti ya baadhi ya klabu za hapa nyumbani kwenye usajili ni thamani ya mchezaji mmoja tu na pengine thamani ya mchezaji kutoka 5 bora ni kubwa kuzidi fungu la usajili kwa baadhi ya Klabu zetu.
4 Timu yenye mchezaji ghali zaidi ,haikuwepo kabisa kwenye CAFCL
TOP FIVE 👑
1. Mamelodi Sundowns.
Kikosi kina thamani ya €33.15 Milioni sawa na Tsh 91,931,455,687
[ Bilioni 91]
Mchezaji Ghali zaidi ni Marcelo Allende🇨🇱 €2.30 milioni sawa na Tsh6,378,351,375
[ Bilioni 6]
2.Al Ahly.
kikosi kina thamani ya €32.48 milioni sawa na Tsh90.073,414,200
[ Bilioni 90]
Mchezaji Ghali zaidi ni Aliou Dieng🇬🇳
€4.50m sawa na Tsh12,479,383,125
[ Bilioni 12]
3 Pyramids FC
Kikosi kina thamani ya: €22.30 milioni sawq na Tsh61,842,276,375
[ Bilioni 61]
Mchezaji Ghali zaidi ni Ramadhan Sobhi🇪🇬 €3.00 milioni sawa na Tsh8,319,588,750
[Bilioni 8]
4 Orlando Pirates.
Kikosi kina thamani ya €20.20 milioni sawa na Tsh56,018,564,250
[ Bilioni 56]
Mchezaji Ghali zaidi ni Monnapule Saleng 🇿🇦€1.30 milioni sawa na Tsh3,605,155,125
[ Bilioni 3]
5 Zamalek SC.
Kikosi kina thanani ya € 19.55 sawq na Tsh54,215,986,687
[Bilioni 54]
Mchezaji Ghali zaidi:
Ahmed Sayed "Zizo" 🇪🇬
€ 5.00 milioni sawa na Tsh13,865,981,250
[Bilioni 13]
0 Comments