Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MSIGWA AWAPONGEZA WAKIMBIA RIADHA WA TAIFA STARS WALIOSHINDA MEDANI


Hongereni Wanariadha wetu kwa kufanya vizuri huko Nigai, Japan.
#TupoVizuri
//
WANARIADHA wa Tanzania wametamba katika mbio za NAGAI Marathon 2023 zilizofanyika jijini Nagai nchini Japan, Oktoba 15, 2023. 

Mwanariadha Sara Ramadhan aliibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake Km 42 ‘Full Marathon’ huku pia kwa wanaume Peter Sulle akishinda na kuafuatiwa na Fabian Joseph. 

Watanzania pia walifanya kweli kwenye Km. 21 ‘Half Marathon’, ambako kwa Wanawake Transfora Musa aliibuka Kidedea. Kwa upande wa wanaume ilishuhudiwa Josephat Gisemo akiibuka mshindi wa Kwanza na Paul Damian Makiya akiwa mshindi wa Pili. 

Tanzania iliwakilishwa na wanariadha sita katika mbio hizo wakiwa chini ya Kocha Samson Ramadhanx na mkuu wa Msafara kanali mstaafu Juma Ikangaa


Hatari mashindano



 

Post a Comment

0 Comments