Katompa sasa atafutiwe bondia mwingine Dulla imetosha, Katompa kamzidi Dulla akili kitu ambacho kukirekebisha ni ngumu hasa bondia akishakomaa.
..
Katompa ana shabaha kweli kweli, ngumi zake mara nyingi anaanza na jab ya juu kisha anakuja na hook kali ya kushoto ambazo zote zimefika kwa Dulla.
..
Kizuri zaidi jamaa anapandishia ngumi, ukipiga tumbo mbovu (body shot) anajibu kwa kupiga uso kisawasawa, ameanza na nishati ya kawaida kamaliza na nishati kubwa alipoona stance ya Orthodox inamsumbua kakaa Soutj Pole kabonda kisha alivyomlegeza Dulla karudi katika mtinddo wake wakusimama wa kawaida.
Anajua umuhimu wa mpinzani akiwa katika kona na anaunganisha ngumi, hapo ndio kafiwa na mzazi wake juzi tu, asingefiwa je? huyu jamaa ni bondia aisee, anacheza ngumi hapigani ngumi, bondia gani Mtanzania tumpe Katompa wakuu.
0 Comments