Mwenyekiti wa Bodi ya Wakuregenzi ya Simba SC, Salim Try Again' Muhene akiwa ameibeba tuzo ya mashabiki bora katika michuano ya Super Cup Afrika, African Football League ambayo imetoka kumalizika pale nchini Afrika Kusini
Michuano hiyo ilizinduliwa hapa kwetu kwa klabu ya Simba SC kuanza kuifungua kwa kucheza na Al Ahly Kutoka nchini Misri
Tuzo zikatoka na Wanalunyasi Simba SC wakatwaa tuzo hii kwa upande wa mashabiki kwa kuwa na ile sifa yao ya kujaa uwanjani
Yanga SC kupitia mashabiki wake nao waichukue hii kama soko na inapokuja michuano mikubwa hakuna sababu ya kusita sita Kwenda uwanjani, wanapaswa kuichukua hii kama somo kisha kufanyia kazi
Tuwape maua yao mashabiki wote wa Simba kwa kutambulika Afrika kuwa wao ni mashabiki bora
0 Comments