Hot Posts

6/recent/ticker-posts

KWA HILI KOCHA WA SIMBA ROBERTINHO AMEONEWA SANA

 



GOOD MORNING 🖐️


Matokeo ya aliyekuwa Kocha wa Simba Roberto Oliveira ‘Robertinho’ kwenye mechi 18 za Ligi Kuu tangu alipoanza kuifundisha Simba Januari 2023 hadi Novemba 2023.


Januari 18, 2023 Simba 3-2 Mbeya City

Januari 22, 2023 Dodoma Jiji 0-1 Simba

Februari 3, 2023 Simba 3-1 Singida Big Star

Februari 21, 2023 Simba 1-1 Azam

Machi 11, 2023 Mtibwa Sugar 0-3 Simba

Aprili 10, 2023 Ihefu 0-2 Simba

Aprili 16, 2023 Simba 2-0 Yanga

Mei 3, 2023 Namungo 1-1 Simba

Mei 12, 2023 Simba 3-0 Ruvu Shooting

Juni 6, 2023 Simba 6-1 Polisi Tanzania

Juni 9, 2023 Simba 3-1 Coastal Union

Agosti 17, 2023 Mtibwa Sugar 2-4 Simba

Agosti 20, 2023 Simba 2-0 Dodoma Jiji

Septemba 21, 2023 Simba 3-0 Coastal Union

Oktoba 5, 2023 Tanzania Prisons 1-3 Simba

Oktoba 8, 2023 Singida Fountain Gate 1-2 Simba

Oktoba 28, 2023 Simba 2-1 Ihefu

Novemba 5, 2023 Simba 1-5 Yanga


Katika mechi hizo 18, Robertinho ameshinda mechi 15, ametoka sare mechi mbili [2] na kupoteza mchezo mmoja [1] pekee! Simba imefunga magoli 45, imefungwa magoli 17 na clean-sheets nane [8].

Post a Comment

0 Comments