Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MANGUNGU WA SIMBA UENDA AKAJIUZULU YANAYOENDELEA MSIMBAZI NI BALAA

 


MWENYEKITI hali huku mtaani sio shwari, Mashabiki na Wanachama hawana raha kifupi maswali ni mengi kuliko majibu kifupi wanasikia sauti nyingi pasipo na sauti moja ya kuwapa mwelekeo, ulichaguliwa kwa kura za upendo, watu wanasubiri sauti yako kunani?


Mwenyekiti naomba nikupe hints kidogo za wewe kujipima kama Kiongozi ndani ya Simba. 


- Chini yako wamepita Makocha wangapi?


- Chini yako klabu imetwaa vikombe vingapi?


- Chini yako kuna hatua ipi imepigwa?


- Je kwa muundo wa utawala ulivyo una namna unaweza kuleta mabadiliko?


- Unajisikiaje Mwenyekiti wa upande wa Wanachama unaingia kwenye kikao cha Bodi kama Mjumbe? Una nguvu sawa ila una Mamlaka?


- Wengine wanasema ukitajwa wewe sio sawa, sasa atajwe nani? Kama Mwenyekiti hauna nguvu basi katiba ya klabu ina changamoto tuitazame upya. 


MWENYEKITI ni hayo tu kwasasa, tunasubiri mrejesho wako Kiongozi Mkuu. 


VISIT MOROGORO🇹🇿

Post a Comment

0 Comments