Ni jambo jema sana, mechi itachezwa shindano litapita lakini uwanja utabaki na kuendelea kutumika ukiwa katika ubora wa juu! Naamini utakuwa ni miongoni mwa viwanja bora sana Afrika.
Na hapa ndio sehemu ya kuanzia kuelekea michuano ya AFCON 2027 ambayo tutakuwa wenyeji tukishirikiana na jirani zetu wa Kenya na Uganda.
0 Comments