Hot Posts

6/recent/ticker-posts

HIKI HAPA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA TANZANIA TAIFA STARS KITAKACHOSAFIRI KWENDA SAUDIA ARABIA KUCHEZA NA SUDAN


TAIFA STARS: Hiki hapa kikosi cha timu ya taifa #TaifaStars kitakachosafiri kwenda Saudi Arabia kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Sudan, Oktoba 15 mwaka huu. 

1. Beno Kakolanya – Singida BS
2. Metacha Mnata – Yanga SC 
3. Ally Salim – Simba SC
4. Israel Mwenda – Simba SC
5. Abdulrazak Hamza – Super Sport (Afrika Kusini)
6. Nickson Kibabage – Yanga SC
7. Ibrahim Hamad – Yanga SC
8. Bakari Mwamnyeto – Yanga SC
9. Dickson Job – Yanga SC
10. Kibu Denis – Simba SC
11. Mzamiru Yassin – Simba SC
12. Mudathir Yahya – Yanga SC
13. Abdul Suleiman – Azam FC
14. Baraka Majogoro – Chippa United (Afrika Kusini)
15. Abdulmalik Zakaria – Namungo FC
16. George Mpole – St. Lupopo (DRC)
17. Sospeter Bajana – Azam FC
18. Nassor Saadun – Ihefu FC
19. Said Hamis – FK Jedinstvo (Serbia)
20. Morice Abraham – FK Sportak Subotica (Serbia)
21. Haji Mnoga – Aldershot Town (Uingireza)
22. Ben Starkie – Basford United (Uingereza)
23. Saimon Msuva - JS Kabylie (Algeria)
24. Novatus Miroshi – Shakhtar Donetsk (Ukraine)
25. Mbwana Samatta – PAOK FC (Ugiriki)
26. Abdi Banda – RichardsBay FC (Misri)
27. Himid Mao – Tala’ea El Gaish (Misri)
28. Clement Mzize – Yanga SC

(Imeandaliwa na Amosi Masoko)


 

Post a Comment

0 Comments