Hot Posts

6/recent/ticker-posts

BREAKING NEWS: BODI SIMBA YARIDHIA KUACHANA NA ROBERTINHO 🇧🇷



Habari zilizotufikia ni kuwa bodi ya klabu ya Simba imeridhia kuacha na kocha wake Mbrazil Roberto Oliveira 'Robertinho' kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu tangu msimu huu kuanza licha ya kupewa asilimia kubwa ya wachezaji aliowahitaji.

Simba itatangaza uamuzi huo baada ya mechi dhidi ya Tanzania Prisons katika mwendelezo wa ligi kuu NBC Tanzania 🇹🇿

Juma Mgunda ataichukua timu Kwa muda huku klabu ikiendelea kutafuta kocha wa kuja kuifundisha klabu hiyo na kumpa malengo yao.



 

Post a Comment

0 Comments