Kocha wa Man City Pep Guardiola ametwaa tuzo ya kocha bora wa UEFA 2022/23 baada ya kuiongoza Man City kutwaa taji la UCL na pia kutwaa mataji matatu ( Treble )
✍🏻UCL
✍🏻EPL
✍🏻FA Cup
✍🏻Erling Braut Haaland ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa UEFA 2022/23 . Aliweka kambani magoli 12
✍🏻Aitana Bonmati ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa UEFA 2022/23 kwa upande wa Wanawake . Anakipiga klabu ya Barcelona
0 Comments