Droo ya makundi ya Ligi ya mabingwa Ulaya 2023/24 imekamilika rasmi
✍🏻Mashindano yataanza rasmi 19/092023 mpaka 01/06/2024
✍🏻Fainali itapigwa katika dimba la Wembley , England
✍🏻Huu ndio msimu wa mwisho wa muundo huu kwa mashindano ya UCL kabla ya muundo mpya
NOTE
Kama haujaiona timu yako hapo , sijui itakuwa inacheza mchezo gani sasa 😀😀
Kundi la kifo ??? Kwangu mimi KUNDI F
0 Comments