Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TUACHE USHABIKI WADAU! LEO TAIFA STARS WACHEZE WACHEZAJI WALIOTOKA YANGA TU😂


🗣️Ukiachana na Usimba na Uyanga nazani timu ya Taifa ya Tanzania leo dhidi ya Algeria wangetumia wachezaji wa Yanga kwenye kikosi cha kwanza

🗣️Mafanikio makubwa ya timu ya taifa ya Spain 🇪🇸 katika kombe la Dunia 2010 na Kombe Ya Euro 2012 ulitegeme sana ubora wa klabu ya Barcelona ambao walikuwa moto kwenye soka ulaya na timu ya Taifa ya Spain ilikuwa inatumia wachezaji wao kwa asilimia kubwa kwa mfano Pique,Xavi,Iniesta,pedro,Busquets na wengineo

🗣️Pia leo nategemea kumuona Metacha Mnata,Dickson Job,Mwamnyeto,Ibrahim bacca na Mudathiri Yahya katika kikosi cha kwanza cha Taifa stars dhidi ya Algeria, Kwaajili ya kutoa mchango wao katika kuibebea timu yetu kutokaana na ubora wa kikosi chao unaochangiwa na ubora wa mchezaji mmoja mmoja na hali yao ya kujiamini katika mechi ngumu tena za ugenini ambazo Yanga walicheza vizuri msimo uliopita kwenye kombe la shirikisho barani Africa 



 

Post a Comment

0 Comments