Anaitwa Mzamiru Yassin amekuwa kwenye ubora wa aina yake hivi sasa na kila mmoja anavutiwa na kiwango chake
Mzamiru alishawahi kuimbwa zile nyimbo maarufu za mashabiki " toa huyoo, kocha unasubiri nini kumtoa Mzamiru " lakini sidhani kama huo wimbo upo tena
Simba SC inajivunia kuwa na kiungo wa aina yake, Tanzania pia tunajivunia kuwa na Mzamiru Yassin, nakuombea afya njema na aendelee kuupiga mwingi
0 Comments