-
Timu ya Taifa ya #Tanzania “Taifa Stars” imeandika rekodi nyingine ya kufuzu kucheza michuano ya Afrika kwa mara ya tatu baada ya kuilazimisha #Algeria matokeo ya 0-0
-
Tanzania ambayo ilishiriki #AFCON Mwaka 1980 na 2019 imekamilisha michezo ya Kundi F ikiwa na pointi 8 nyuma ya Algeria yenye pointi 16 ambayo nayo imefuzu, #Uganda ina pointi 7, Niger imeshika mkia kwa kuwa na pointi 2
-
Michuano hiyo inatarajiwa kufanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024 Nchini Ivory Coast
#BreakingNews Tanzania yafuzu #AFCON2023Ni baada ya kutoka sare dhidi ya Algeria na kufikisha alama 8 na kumaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa Kundi F.
FT: Algeria 0-0 Tanzania
FT: Niger 0-2 Uganda
0 Comments