Mchezaji wa Coastal Union, Haji Ugando amemuomba msamaha mchezaji Henoc Inonga wa Simba kwa kumchezea rafu iliyosababisha kushindwa kuendelea na mchezo na kupelekwa Hospitali ya Rufaa Temeke kwa matibabu zaidi.
Tukio hilo lilitokea dakika ya 20 ya mechi ya Simba na Coastal iliyomalizika kwa Simba kushinda mabao 3-0 huku Ugando akipewa kadi nyekundu.
0 Comments