Hot Posts

6/recent/ticker-posts

HATIMAYE HAJI MANARA ARUDI TANZANIA KWA MBWEMBWE MTAZAME

Alhamdulillah 🙏🙏


Nafurahi kurudi home salama na afya njema.


Sehemu ya kwanza ya Ziara ya kidunia ya Bugati World Tour imekamilika vema MaashaAllah 


Tupo home now katika nchi ambayo mteja ni fala tu, nchi ambayo hata asiojua ni mjuzi.


Thanks My People kwa Dua zenu 🙏



 

Post a Comment

0 Comments