Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Mbappe to Real Madrid.


 

Inaripotiwa kuwa klabu ya Real Madrid huwenda ikakamilisha usajili wa Kylian Mbappe kwenye dirisha hili kubwa la usajili la majira ya joto.


 Ripoti ya Vozpopuli imesema kuwa Rais wa Real Madrid Florentino Pérez amekubali kufikia mahitaji ya PSG kwenye deal hiyo ya kumnunu Mbappe.


Inaarifiwa kuwa Mbappe atalipwa mshahara wa Euro milion 50 kwa mwaka ambayo ni zaidi ya Bilion 136 na milion 567 kwa pesa ya Tanzania, na atakuwa mchezaji anayelipwa zaidi kwenye kikosi cha Real Madrid.

Post a Comment

0 Comments