Kupitia Ukurasa wao wa Insta wameandika
Leo asubuhi tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kipanga FC na kuibuka na ushindi wa magoli 3-0.
Taarifa zaidi kuhusu mchezo inapatikana kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja
MECHI YA KIRAFIKI
.
FT: SIMBA SC 3-0 KIPANGA
21’—⚽️ Phiri
41’—⚽️ Miquissone
70’—⚽️ Kramo (freekick)
.
SIMBA kikosi X1:
Ally (Lakred), Kapombe (Duchu),
Zimbwe Jr (Israel), Che Malone, Henock (Mwanuke), Ngoma, Chama (Abdallah), Kanoute (Kapama), Phiri (Baleke), Miquissone (Kramo), Onana (Kazi).
0 Comments