Wadhamini wa klabu ya Yanga GSM wamewaahidi wachezaji wa Yanga kuwapa Bonus ya Tsh. Million 100 Endapo watafanikiwa kuwatoa Al-Merrikh na kutinga hatua ya makundi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika,
Wadhamini hao wa klab ya Yanga wamewaahidi wachezaji kuwa Bonus hiyo itakuwa ikiongezeka kila hatua wanayotinga,
Kumbuka msimu uliopita Yanga ilitumia zaidi ya Sh bil 1.5 kwa ajili ya bonasi kwenye Kombe la Shirikisho ambapo walicheza hadi fainali na kutoka sare ya magoli 2-2 dhidi ya USM Alger.
Yanga watacheza mchezo huo Wa marudiano 30 September 2023 majira ya saa 1 usiku Azam complex.
0 Comments