Hot Posts

6/recent/ticker-posts

BALEKE JIFUNZE KWA MZIZE NAMNA YA KUFUNGA MECHI KUBWA

 


🗣️Mechi za kombe klabu bingwa na kombe la shirikisho ni mechi zinzohitaji sana mtaji mkubwa wa mabao kama unapata nafasi ya kufunga iwe ugenini na nyumbani

🗣️Clemet Mzize ana umri wa miaka 19, Lakini amejua mchezo wa leo dhidi ya El-Merrikh ni mechi Yanga waaohitaji sana matokeo kwakua Yanga wanahitaji sana kutinga hatua ya makundi, Kwa umri wake mdogo lakini ameweza kufanya maamuzi ya kiutuzima na kuiweka Yanga kifua mbele ugenini

🗣️ Ubora aliokuwa nao Jean Baleke na uzoefu alionao kwa kucheza katika klabu kubwa zaidi ya Simba tulitegemea kuimaliza mechi leo dhidi ya Power Dynamos, Amepata nafasi zaidi ya moja ambazo zingefanya mechi kuwa nyepesi kwa Simba nyumbani

🗣️Kama mchezo wa leo klabu ya Simba ingepoteza basi manung’uniko yote ya mashibiki wa klabu ya Simba yangekuwa kwake kutokana na mabao ya wazi aliyokosa

#Boiboimkali

Post a Comment

0 Comments