Hiki anachokitengeneza Master Gamond ni hatari sana kwa timu zingine, kama Yanga ikiweza kutulia na kutumia nafasi zake basi watafanya mabalaa makubwa sana msimu huu.
Lile ni goli halali kwa mwananchi na kipekee kabisa kibendera anahitajika apate pongezi kwa kuliona hilo, Yanga inazidi kuimarika anayetoka na anayeingia wana ubonda sawa.
Farid Musa ni kama mvinyo tu, hachukizi ukimuweka kuwa winga wa kushoto anakupa ubora wake, ukimuweka katikati anakupa ubora na ukimuweka beki tatu anakupa ubora wake.
NB: Kwa hiki ambacho Yanga wanakionyesha kuna timu zinaweza zisiingie uwanjanišš
FT: YANGA 5-0 KMC
0 Comments