Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amejitofautisha na mtangulizi wake Mohammed Nasreddine Nabi Kwa aina ya soka wanalofundisha. Ingawa wote wanafundisha soka la pasi nyingi na kumiliki mpira, Gamondi ameonekana tofauti kidogo na Nabi.
Utofauti huo ni namna timu inavyocheza Kwa kupiga pasi nyingi, kumiliki mpira Kwa muda mrefu mambo ambayo Professor Nabi alikuwa alifanya ila Gamondi ameongeza spidi kuelekea lango la mpinzani kitu ambacho huwapa shida wapinzani wake huku akiwakabia juu wapinzani wake.
0 Comments