Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MSHAMBULIAJI WALTER BWALYA WA AL AHLY ATIMKIA UARABUNI


Klabu ya Al Ahly ya nchini Misri imevunja mkataba na mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo Walter Bwalya baada ya kudumu nae kwa miaka karibia mitatu. 


Bwalya ambaye amejiunga na Al Ahly mwaka 2021,misimu miwili iliyopita alicheza kwa mkopo katika vilabu vya Malatyaspor (Turkey),Al-Sailiya (Qatar) na Al-Qadsiah(Saudi Arabia)


Kwenye mechi 31 alizoicheza Al Ahly, Bwalya amefunga magoli matano na kutoa Assist 4

Post a Comment

0 Comments