🗣️Lakini kiukweli wachezaji kama Feisal hapa nyumbani wako wengi sana ila wanashindwa kuonekana kwenye daraja la juu kutokana na klabu wanazochezea, Kwa mfano toka Feisal alipogoma kucheza katika klabu ya Yanga watu wengi walijua timu itashuka kiwango kwa kutokuwepo kwake, Lakini timu iliweza kutwaa ubingwa wa NBC premier league na kufika fainali ya Kombe la Shirikisho barani Africa bila Feisali.
🗣️Toka ameanza kucheza katika klabu ya Azam Fei toto sasa uwezo wake asili unaonekana na toka amefika mpaka sasa mchezo ambao kidogo alikuwa katika kiwango bora ni mchezo dhidi ya kitayosce fc ambapo alifunga mabao matatu tena kitayosce wakiwapungufu kwa idadi ya wachezaji (8) Uwanjani, Mpaka sasa timu yake ya zamani haijaonyesha mapungufu toka ameondoka tofauti na Mayele ambaye pengo lake linaonekana mpaka sasa.
#Boiboimkali
0 Comments