
INAUMA SANA : lakini inafika mahala inabidi uzoee tu kwamba ndio hali halisi ya hii klabu ilipofikia . Hali inazidi kuwa mbaya sana .
Nafikiri umefika muda Manchester United kuiita " Timu kubwa " inakuwa makosa sana bali timu yenye jina kubwa na wafuasi wengi .
Katika misimu takribani mitatu haya ndio matokeo yetu ... unaweza kufikiria mwenyewe timu gani kubwa unapokea vichapo vingi vikubwa kama hivi katika misimu inayokaribiana hivi
Man United 0-3 Man City
Man United 0-5 Liverpool.
Liverpool 7-0 Man United.
Liverpool 4-0 Man United.
Man City 6-3 Man United.
Man United 1-6 Spurs.
Brighton 4-0 Man United.
Brentford 4-0 Man United.
Arsenal 3-2 & 3-1 Vs Man United
Man United 1-3 Brighton
Watford 4-1 Man United
Man United 0-3 Newcastle United
NOTE
Msimu huu tu peke yake mashindano yote Man United tayari tumefungwa magoli 3 katika mechi tano tofauti
1: Man United 0-3 Man City ( EPL )
2: Man United 0-3 Newcastle ( Carabao )
3: Man United 1-3 Brighton ( EPL )
4: Arsenal 3-1 Man United ( EPL )
5: Man United 2-3 Galatasaray ( UCL )
✍🏻Katika mechi 15 msimu huu , mechi 8 tumepoteza
✍🏻Katika mechi 10 za kwanza nyumbani 5, tumebabuliwa
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Boss @diamondplatnumz ule wimbo wako unaitwaje tena ? YATAPITA
0 Comments