Cristiano Ronaldo ametajwa kama mchezaji bora wa mwezi [ POTM ] kwa miezi miwili mfululizo kwenye Ligi kuu ya Saudi Arabia [Saudi Pro League]
Amefanya hivyo Mwezi August akifunga mabao matano [5] na kutoa assist mbili [2] hadi kufika mwezi September Ronaldo ndiye kinara wa ufungaji akiwa amefunga mabao 10 kwenye mechi saba [7] za Ligi hivyo ametajwa tena kama [POTM]
Ikukumbukwe alitajwa pia kama [POTM ]mwezi February muda mfupi baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea United, hivyo ametajwa kama mchezaji bora wa mwezi mara tatu kwa ujumla huku mafanikio makubwa ni pale mwanzo wa msimu alipoisaidia timu yake kushinda ubingwa wa Arab Club Champion Cup
0 Comments