💰 Uongozi wa klabu ya Tanzania Prisons kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
0 Comments