GOLIKIPA BORA amefanya kosa baya sana, mpira ulishamzidi kimo alitaka kubaki nao mikononi, punching ilikuwa option sahihi zaidi, ni sehemu moja wapo ya kasoro kwenye mchezo leo licha ya ubora wa Mpigaji aliyeupiga vizuri.
Skudu anaweza kuwa Mchezaji mzuri sana ila wapi na dhidi ya nani na mnahitaji nini? Hawakujifunza msimu uliopita? Wakaja kurudia makosa yale yale, sikuona kama ilikuwa option sahihi Mwana kucheza dhidi ya Mbogo Maji.
Kocha Zubeir Katwila na Vijana wake wa Ihefu wamefanya kazi kubwa sana, ila Kocha wa Yanga na baadhi ya Vijana wake wamefanya kazi kubwa zaidi kuangusha alama msimu huu, very bad ila ndio football, bad day at office.
Mbogo Maji ya Katwila🙌
0 Comments