Klabu ya Yanga imefikia kwenye hoteli kubwa zaidi Nchini Rwanda inayoitwa MARRIOTT HOTEL,
Ni hoteli ya nyota tano ambayo hutumiwa na viongozi wakubwa Duniani, watu maarufu na watalii. Infantino Rais wa FIFA alifikia hapa pia.
Ni luxury hotel.
Gharama ya chumba kwa siku moja ni Tsh. laki sita na 29 elfu (Tsh 629,507),
Ina huduma zote muhimu kwa kila aina ya mteja, watalii, timu za mpira, Viongozi wa Serikali nk ...
👉🏿Mabwawa ya kuogelea
👉🏿Kumbi mbalimbali za mikutano
👉🏿Gym na vifaa vyote vya mazoezi
0 Comments