Hatimaye TANZANIA 🇹🇿KENYA🇰🇪 na UGANDA🇺🇬 zimefanikiwa kushinda zabuni ya kuwa wenyeji wa michuano ya AFCON 2027 baada ya Shirikisho la Soka Afrika [CAF] kupitisha ombi la nchi hizo kwa pamoja.
Kwa hiyo ni rasmi sasa Fainali za AFCON zitafanyika Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mashindano hayo miaka 66 iliyopita!
0 Comments