Hot Posts

6/recent/ticker-posts

BREAKING NEWS: TANZANIA, KENYA NA UGANDA KUANDAA AFCON 2027


🚨 BREAKING BREAKING 🚨


Hii ni Historia kwa Rais wetu mpendwa Mama yetu Dr.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Usaidizi wa Tff inayoongozwa na Wallace Karia pamoja na Wizara za Michezo za mataifa ya Kenya & Uganda kwakuwa sasa ni Rasmi 


Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika CAF limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa mwaka 2027.


🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 

Post a Comment

0 Comments