UTATOA, HUTOI ?
✍🏻Sean Dyche alijua itakuwa kama msimu uliopita , kukaa sana nyuma na kufunga goli la kudondokea , muda mrefu wa mechi ilikuwa ULINZI Vs USHAMBULIAJI ( Everton walizuia zaidi na Arsenal kushambulia )
✍🏻Kipindi cha kwanza kila mtu kuna mahali alikosea
1: Everton walizuia vizuri lakini wakipata mpira hawana sehemu ya kwenda
2: Arsenal wana mali muda mrefu lakini mipango ya kiufungua Everton ilikuwa ngumu sana .
✍🏻Arsenal kwenye muundo wao wa 3-Box midfield -3 tatizo ilikuwa Everton walikuwa wanafunga sana space katikati ya mstari wao wa ulinzi na kiungo na pia wingers wa Everton waligoma kuruhusu fullbacks wao kuwa 1v1 dhidi ya wingers wa Arsenal .
✍🏻Nini ambacho kilitakiwa na Arsenal walikibadilisha kipindi cha pili ?
1: Vuta subira
2: Tanua uwanja zaidi pembeni ya uwanja
3: Third Man Runner ( kama goli lilivyopatikana)
4: Uwezo wa kupiga mashuti ( Ball striking )
5: Dumisha muundo wako wa ulinzi pale ukiwa na mpira ili kukabiliana na counter attacks pamoja na kudumisha umiliki wa mpira mkiupata
Na goli la Arsenal lilipatikana katika orodhs hiyo
✍🏻Subira ( walipoanzisha kona )
✍🏻Third Man Runner ( Trossard )
✍🏻Ball striking ( trossard tena )
NOTE
1: Pale ambapo unatakiwa kulinda uongozi wako unamuhitaji kipa wako aoneshe mamlaka kwenye mipira ya juu - Raya 🔥
2: Sean Dyche na boli lake daah ndio maana kumbe mpaka sasa hawajafunga goli uwanja wa nyumbani
3. Declan Rice , kila siku anacheza vizuri
4: Saliba na Gabriel walikabiliana vizuri tu na mipira ya juu
5: Hatimaye Arsenal wameshinda Goodison Park baada ya miaka takribani 6
6: WANAKUJA HUKO HUKO JUU , TEMBO ANATAKA KUKAA KWENYE TAWI LAKE
FT: Everton 0-1 Arsenal
0 Comments