Makocha wengi wazawa wanatoka kwenye timu za taasisi [binafsi au serikali], ni Ihefu SC pekee ambayo si timu ya taasisi lakini ina kocha mzawa.
MAKOCHA WAZAWA WA TIMU ZA LIGI KUU NI:
1. Abdallah Mohamed ‘Barres’ [Mashujaa FC]
2. Hemed Morocco [Geita Gold FC]
3. Zuber Katwila [Ihefu SC]
4. Malale Hamsini [JKT Tanzania]
5. Habib Kondo [Mtibwa Sugar]
6. Fredy Felix Minziro [Tanzania Prisons]
7. Mecky Maxime [Kagera Sugar]
0 Comments