Real Madrid kwa muda mrefu imekuwa ikichukuliwa kama chaguo la kwanza kwa nyota wengi na hata Haaland lakini , Barca pia wanajiandaa kufanya harakati zao wenyewe kwa mshambuliaji huyo bora Ulaya kwa sasa.
Kwa sasa Barca ina Robert Lewandowsk lakini kwa muda mrefu, Haaland anaonekana kama chaguo linalofaa kuchukua nafasi ya mkongwe huyo mwenye miaka 35.
Credit ESPN
0 Comments