Kuna baadhi ya mashabiki wa Simba SC wameendelea kuwa na wasiwasi na kiwango kwa mchezaji wao Jose Luis Miqiussoin ambaye alirejea kwenye kikosi chao
Miqussoin tangu ajiunge na Simba SC baada ya kuondoka kwenye viunga vya mitaa ya Msimbazi amekuwa hana kiwango kizuri kwani mpaka sasa hajafanikiwa kufunga bao lolote lile
Hata hivyo mchezaji Luis Miqiussoin amesema miguu itaongeza muda ukifika pamoja na kupitia kipindi kigumu
Chanzo, Gazeti la Mwanaspoti ✍️
0 Comments