Hot Posts

6/recent/ticker-posts

IWE JUA AMA MVUA REAL MADRID WANAMTAKA MBAPPE KUZIBA PENGO LA BENZEMA


Real Madrid imetenga ada ya £200m kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe mwezi January.


Inadaiwa kuwa fedha hizo zitatumika kulipia Mishahara ya Mbappe na ada ya kusaini na hivyo kumaliza moja ya sakata ndefu zaidi za Uhamisho. 


Real Madrid haikusajiri mshambuliaji mbadala wa Karim Benzema dirisha la Joto kwa hivyo Mbappe ndio Jicho lao na kipaumbele chao cha January
 

Post a Comment

0 Comments