Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TWIGA STARS YAICHAPA IVORY COAST NA KUSONGA MBELE


✅TWIGA STARS 🔥🔥
Twiga Stars imepindua Meza baada ya kushinda kwa Mikwaju ya Penati 4- 2 Hii ni baada ya kushinda Goli 2 -0 na kufanya matokeo ya Jumla kuwa 2 - 2 Na sasa Twiga Stars imefanikiwa kuingia Round inayofuata kuwania kufuzu michuano ya Afcon kwa Wanawake (WAFCON 2024) . 

 Sasa Tunasubiri Mechi ya Mwisho Ili tufuzu Ambapo Tunasubiri Mshindi kati ya Togo 🆚 Djibouti 

⚽Donisia Minja Dakika 49
⚽ Opa Clement dakika 51

 

Post a Comment

0 Comments