Salim amesema kwasasa wamemuacha mwalimu afanye kazi yake na wao kama viongozi wanampa nguvu zote ili kuhakikisha wanapata matokeo.
Aidha Salim amesema mashabiki hao hao wanaohitaji timu icheze vizuri baadae wakikosa ubingwa mwisho wa msimu watalaumu.
0 Comments