Msimu uliopita Simba ilifunga mabao 75 ikiwa ndio timu iliyofunga mabao mengi zaidi na ndio timu iliyoruhusu mabao machache zaidi, mpaka sasa Robertinho hajapoteza mechi yoyote kwenye Ligi Kuu, ligi imeanza na mpaka sasa mechi mbili mabao sita, bado mechi 28 na tayari wanadaiwa mabao 69 tu!
Safu ya ushambulizi ya Simba ina Jean Baleke, John Bocco, Moses Phiri, nyuma yao kuna Onana, Chama, Saido, Kibu na Konde Boy, watarejea vizuri na kombe?😀 Takwimu za kwenda nazo tawi lolote
0 Comments