1. Al Ahly Cairo🇪🇬
2. Wydad Casablanca🇲🇦
3. Young Afticans 🇹🇿
4. Pyramids🇪🇬
5. Mamelodi Sundowns🇿🇦
6. FAR Rabat🇲🇦
7. Raja Casablanca🇲🇦
8. Zamalek🇪🇬
9. CR Belouizdad🇩🇿
HII NI KWA MUJIBU WA : Shirika la kukusanya takwimu Duniani kwenye soka lenye makao yake makuu Nchini Switzerland 'International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) limetangaza top (20) ya vilabu bora Africa kuanzia (1 Sept 2022 - 31 October 2023 ambavyo ni hivyo juu,
Kwa mujibu (IFFHS) hukusanya points kupitia mashindano yote rasmi, yaani Ligi kuu, CAF na FA cup za Nchi husika kupata list ya viwango vya ubora kwa mwaka husika.
0 Comments