FULL TIME ;
🔘Al Nassr 3 - 0 Eastern Flames
Maysa Zaid ⚽️
Clara Luvanga ⚽️⚽️
👉🏾 Clara Luvanga Amefunga Magoli Mawili Ingawa Kulikuwa Na Uwezekano Mkubwa Wa Kufunga Magoli Hata Zaidi Ya Matano Kutokana Na Yale Ambayo Alipoteza ...
👉🏾 Timu Ya Al Nassr Ni Timu Nzuri Ina Wachezaji Wengi Wazoefu Kama Kapteni Mkuu Wa Timu Hiyo Maysa Zaid Mahmoud Huyu Ni Raia Wa Kuwait🇰🇼 Ambaye Amedumu Klabuni Hapo Tangu Mwaka 2021 Akitokea Amman Pia Kuna Mchezaji Kama Lina Boussah Huyu Ni Raia Wa Algeria🇩🇿 Wabrazil Wawili Izabela Stahelin Pamoja Na Marina Höner Hawa Wote Ni Wazoefu ...
👉🏾 Tofauti Na Klabu Ya Enekia Wachezaji Wazoefu Ni Watatu Tu Ambao Ni Enekia Kasonga Toka Tanzania🇹🇿,Golikipa Ochwuku Oleuhi Raia Wa Nigeria🇳🇬 Pamoja Na Sara Toro Munirah Raia Wa Colombia🇨🇴 ...
👉🏾 Enekia Alionekana Kuhangaika Sana Kutafuta Mipira Huku Na Huku Kutokana Na Timu Yake Na Aina Ya Wachezaji Wengi Ambao Bado Sio Matured Enough ...
🎥Video Juu Ni Goli La Pili Alilofunga Clara Luvanga Na Goli La Tatu Kwa Timu Yake ...
😎 Hongera Sana Vijana Wetu Mungu Azidi Kuwatia Nguvu Ya Kupambana Kesho Zaidi Ya Jana @enekiakasonga Na @claraluvanga14
@matukio_muhimu
0 Comments