Hot Posts

6/recent/ticker-posts

SANCHO ALAZIMISHWA KUMUOMBA KOCHA WAKE MSAMAHA


#EKsports ||Wachezaji wa klabu ya Manchester united wamemuomba Sancho amuombe msamaha kocha wake Erik Ten Hag baada ya kuwa na kutoelewana kwa muda mrefu.


Sancho alipigwa marufuku kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza baada ya kumsema vibaya kocha wake kwenye vyombo vya habari.


Hata hivyo Sancho (23) amekataa kuomba msamaha na hakuna muda maalumu kwa Sancho kurejea kikosi cha kwanza.
 

Post a Comment

0 Comments