Hot Posts

6/recent/ticker-posts

WENGI WALITEGEMEA HUYU MBWAMBA KUFANYA MAKUBWA ILA NDO HIVYO TENA....?


🗣️Baada ya klabu ya Simba kutangaza usajili wa golikipa mpya kutoka kwa mabingwa wa ligikuu nchni Morocco msimu uliopita Ayoub Lakred, Wadau mbalimbali walitegemea kutoka kwake utofauti mkubwa na magolikipa waliyopo ndani ya ligi yetu katika ubora usasa

🗣️Lakini mpaka sasa kutokana mechi alizocheza ndani ya klabu ya Simba wengi wameanza kuwa na wasiwasi naye kutokana na utendaji wake, Wengi wameanza kutotaka Lakred kupewa nafasi ya chagua la kwanza mbele ya Ally Salim na Aishi Manula endapo atarejea kikosi 

🗣️Ujio wa Diarra ndani ya ligi yetu mpaka sasa umetoa mchango mkubwa sana kwenye namna ya magolikipa kujifunza kutoka kwake, Mpaka sasa hakuna mdau yeyote wa soka hapa Tanzania ambaye amekuwa na hoja ya msingi kuhusu kupinga ubora Diarra

🗣️Hii nafasi ya kujifunza kwa klabu nyingine zinapofanya tafiti za usajili kwa wachezaji wa kigeni katika nafasi wanazocheza na viwango vyao binafsi ili kuendana na ubora timu zetu na ubora wa ligi kwa ujumla
@libobe_mall #Boiboimkali

 

Post a Comment

0 Comments