Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MHE. MWINJUMA AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA.



Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo @mwanafa amekagua Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya Ukarabati wa Awamu ya kwanza akiwaahidi Watanzania kuwa kazi hiyo itaendelea kwa Awamu ya pili kama ilivyopangwa. 

 Amekagua Uwanja huo Oktoba 16, 2023 ambapo amewaalika Watanzania wafike uwanjani hapo kushuhudia mechi ya ufunguzi wa African Football League (AFL) kati ya timu ya Simba na Al Alhy ya Misri utakaochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2023. @simbasctanzania @alahly


 

Post a Comment

0 Comments