Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MTANZANIA ANAYECHEZA NA MESSI MAREKANI MBIONI KUCHEZA TIMU YA TAIFA


BERNARD KAMUNGO, Mwanasoka ambaye alilelewa kwenye kambi ya Wakimbizi huko Kigoma, Tanzania! Aliyekuwa na uwezo wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, sasa ameitwa rasmi timu ya taifa ya Marekani kuelekea kambi ya Olympic, uwezekano mkubwa kwasasa ni kuwa tayari ataiwakilisha Marekani huku klabu yake ya FC Dallas ikisema ametoka Kambi ya wakimbizi bila kuitaja nchi, another talent imechagua bendera tofauti na Tanzania. 


Post a Comment

0 Comments