Hot Posts

6/recent/ticker-posts

ARSENAL WIN IT AT THE DEATH AGAINST THE CHAMPIONS. STILL UNBEATEN. 🔴



Arsenal wamefanikiwa kuifunga Man City baada ya uteja wa muda mrefu , tangu mwaka 2015 Arsenal haikuwahi kuifunga City hivyo ushindi wa leo unamfanya Arteta kuwa kocha aliyezifunga timu 24 alizokutana nazo EPL tangu awe kocha wa Arsenal 


🏟️FT : ARSENAL 1-0 MAN CITY

⚽️ 87" Martinelli


MATOKEO MENGINE 


🏟️FT ;ATLETICO MADRID 2-1 SOCIEDED 

⚽️ 22" Lino 

⚽️ 89" Griezmann (p)


⚽️ 73’ Oyarzabal


🏟️ FT ; VILLARREAL 1-2 PALMAS 

⚽️ 90 Moreno 


⚽️ 45’ Coco

⚽️ 51’ Cardona
 

Post a Comment

0 Comments