Hot Posts

6/recent/ticker-posts

HONGERA SANA SIMBA KWA KUFUZU MAKUNDI CAFCL



Simba SC Rasmi imefuzu hatua ya makundi ya CAF Champions League Msimu huu 2023-24 🦁✅

Hii imekuja baada ya kutoka sare ya Goli 1-1 kwenye Mchezo wa Leo dhidi ya Power Dynamos na faida ya kufunga magoli mengi ya ugenini ikawapa nafasi ya kusonga mbele

Mchezo wa kwanza pale Ndola Zambia ulimalizika kwa sare ya 2-2 hivyo matokeo ya leo yamefanya uwiano wa magoli kuwa 3-3 

Power Dynamos wanaishia katika hatua hii baada ya kutolewa na wanasubiri msimu mpya wa Mashindano 2024-25 kama watapata nafasi tena ya kucheza ndani ya CAF Champions League / CAF Confederation Cup.

Pongezi nyingi sana kwa @simbasctanzania

 

Post a Comment

0 Comments