Tunakwama wapi? Years and Years and Years tunakosa kupeleka Waamuzi wetu kwenye Afcon, ni kweli hawana uwezo au tunaonewa na CAF?
Sisi ni namba Tano kwa ubora wa ligi Afrika, kwa nini tunashindwa kupeleka hata Mwamuzi mmoja tu? Kenya juzi tu wametoka katika adhabu ya kufungiwa na FIFA lakini wanao Waamuzi Afcon.
Imagine Ligi Ya Sudan ambayo ni kama haipo kwa sasa imepeleka Waamuzi Afcon, tunakwama wapi? Tujitafakari ni Aibu kwa Nchi.!!
Huu ubora wa ligi yetu inaonekana ni bure kabisa,,ubora upi kama kupeleka hata Mwamuzi mmoja tu ni shida!! Janja janja nyingi lakini Sidhani kama tunapaswa kujivunia ubora wa ligi yetu kwa hawa Waamuzi wetu!!
Aibu kubwa hii,,na last week niliandika hapa wapo wapi kina Hafidh Ally na Mussa Lyaunga wengine? Tumeshindwa nn kumtengeneza Abdul Qadir mwingine? Mamlaka ya mpira hili ni Janga kubwa
0 Comments