Baada ya taarifa hii kutoka Jadon amesema watu hawapaswi kuamini kila kinachosemwa, kama ni mazoezini ameonyesha kiwango bora labda kama kuna sababu nyingine iliyomfanya kocha asimjumuishe na sio kiwango cha Mazoezini.
Jadon amesema yeye alikuwa tayari kuipigania timu yake kwa furaha na amani lakini alishangaa kuona hayupo sehemu ya kikosi kilichoikabili Arsenal.
Kuna nini kati ya Ten hag na Jadon Sancho ?😨
0 Comments