Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MKASA WA MORISON KWENYE TEAM YA NABI HUKO MOROCCO


 ✅DONE DEAL ✅

Bernard Morrison 🇬🇭amesaini mkataba wa mwaka mmoja FAR Rabat, huku akitakiwa kukaa ndani ya jengo la klabu lililopo katika kambi ya jeshi. 

FAR Rabat inamilikiwa na jeshi Morrison anaungana na Kocha wake wa Zamani akiwa Yanga sc Nasreddine Nabi. 


Morrison amepewa masharti mbali mbali kwenye Mkataba wake mpya ikiwemo ndani ya miezi hiyo 12 hatakiwi kufanya matukio yoyote ya utovu wa nidhamu na ikijitokeza mkataba wake utasitishwa mara moja na kuondoshwa klabuni.

Post a Comment

0 Comments